Hadithi 40 za An-Nawawi · Na. 27
Wema ni Tabia Njema na Dhambi ni Linalotikisa Kifua
عَنِ النَّوَّاسِ بْنِ سَمْعَانَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ: «الْبِرُّ حُسْنُ الْخُلُقِ، وَالإِثْمُ مَا حَاكَ فِي نَفْسِكَ وَكَرِهْتَ أَنْ يَطَّلِعَ عَلَيْهِ النَّاسُ».
Kutoka kwa An-Nawwas bin Sam'an (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume amesema: "Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile linalokukwaza na kutikisa kifuani mwako na ukachukia watu walifahamu au kuliona."
Daraja: Sahihi