Nyuma

Kuingia Peponi kwa Kutekeleza Faradhi

Kisomo cha Kiarabu Kisomo Halisi cha Sheikh (MP3)

عَنْ أَبِي عَبْدِ اللَّهِ جَابِرِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ الأَنْصَارِيِّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا أَنَّ رَجُلاً سَأَلَ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ: أَرَأَيْتَ إِذَا صَلَّيْتُ الْمَكْتُوبَاتِ، وَصُمْتُ رَمَضَانَ، وَأَحْلَلْتُ الْحَلاَلَ، وَحَرَّمْتُ الْحَرَامَ، وَلَمْ أَزِدْ عَلَى ذَلِكَ شَيْئاً، أَأَدْخُلُ الْجَنَّةَ؟ قَالَ: «نَعَمْ».

Kutoka kwa Abu Abdullah Jabir bin Abdullah al-Ansari (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume: Je, unaonaje nikiswali swala za faradhi, nikafunga Ramadhani, nikahalalisha halali na nikaharamisha haramu, bila kuzidisha kitu kingine chochote, je, nitaingia Peponi? Mtume akamjibu: "Ndio."

On the authority of Abu 'Abdullah Jabir bin 'Abdullah that a man asked the Prophet: Tell me, if I pray the obligatory prayers, fast Ramadan, treat as lawful that which is lawful and forbid that which is unlawful, and do nothing in addition, will I enter Paradise? He said: "Yes."

Fundisho kuu la Hadithi ya 22 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.

Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.

Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Hadithi 40 za An-Nawawi · Hadith Na. 22 (Al-Arba'in An-Nawawiyyah (Hadithi 40 za An-Nawawi) · Kuingia Peponi kwa Kutekeleza Faradhi)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokewa na Muslim
Mfasiri na Chanzo:
Tafsiri ya Kiswahili iliyohakikiwa · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nawawi40:edition:22