Nyuma

Msimamo Thabiti katika Imani (Al-Istiqamah)

Kisomo cha Kiarabu Kisomo Halisi cha Sheikh (MP3)

عَنْ أَبِي عَمْرٍو -وَقِيلَ أَبِي عَمْرَةَ- سُفْيَانَ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قُلْتُ: يَا رَسُولَ اللَّهِ، قُلْ لِي فِي الإِسْلاَمِ قَوْلاً لاَ أَسْأَلُ عَنْهُ أَحَداً غَيْرَكَ، قَالَ: «قُلْ: آمَنْتُ بِاللَّهِ، ثُمَّ اسْتَقِمْ».

Kutoka kwa Sufyan bin Abdullah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilisema: Ewe Mjumbe wa Allah! Niambie katika Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote mwingine baada yako, akasema: "Sema: Nimemwamini Allah, kisha simama imara (katika utiifu)."

On the authority of Sufyan bin 'Abdullah who said: I said: O Messenger of Allah, tell me something about Islam which I will not ask anyone about other than you. He said: "Say: I believe in Allah, and then remain steadfast."

Fundisho kuu la Hadithi ya 21 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.

Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.

Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Hadithi 40 za An-Nawawi · Hadith Na. 21 (Al-Arba'in An-Nawawiyyah (Hadithi 40 za An-Nawawi) · Msimamo Thabiti katika Imani (Al-Istiqamah))
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokewa na Muslim
Mfasiri na Chanzo:
Tafsiri ya Kiswahili iliyohakikiwa · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nawawi40:edition:21