Nyuma

Kusema Mazuri au Kunyamaza na Kuheshimu Wageni

Kisomo cha Kiarabu Kisomo Halisi cha Sheikh (MP3)

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ: «مَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيَقُلْ خَيْراً أَوْ لِيَصْمُتْ، وَمَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ جَارَهُ، وَمَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيُكْرِمْ ضَيْفَهُ».

Kutoka kwa Abu Hurairah (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwamba Mjumbe wa Allah amesema: "Mwenye kumwamini Allah na Siku ya Mwisho aseme mazuri au anyamaze, na mwenye kumwamini Allah na Siku ya Mwisho amkirimu jirani yake, na mwenye kumwamini Allah na Siku ya Mwisho amkirimu mgeni wake."

On the authority of Abu Hurayrah that the Messenger of Allah said: "Whoever believes in Allah and the Last Day should speak good or remain silent; and whoever believes in Allah and the Last Day should show courtesy to his neighbor; and whoever believes in Allah and the Last Day should show hospitality to his guest."

Fundisho kuu la Hadithi ya 15 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.

Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.

Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Hadithi 40 za An-Nawawi · Hadith Na. 15 (Al-Arba'in An-Nawawiyyah (Hadithi 40 za An-Nawawi) · Kusema Mazuri au Kunyamaza na Kuheshimu Wageni)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokewa na Al-Bukhari na Muslim
Mfasiri na Chanzo:
Tafsiri ya Kiswahili iliyohakikiwa · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nawawi40:edition:15