Nyuma

Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likaondoshwa hilo kwa mwanamke mwenye hedhi

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن عبد الله بن عبَّاس رضي الله عنهما قال: «أُمِرَ الناس أن يكون آخر عَهْدِهِمْ بالبيت، إلا أنه خُفِّفَ عن المرأة الحائض».

Kutoka kwa Abdillahi bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Amesema "Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likaondoshwa hilo kwa mwanamke mwenye hedhi".

‘Abdullāh ibn ‘Abbās (may Allah be pleased with him) reported: People were commanded to make (Tawāf around) the Ka‘bah the last thing they do, but an exception was made for the menstruating woman.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sahih al-Bukhari · Hadith Na. HE-3229 (Bukhari — bado haijapangwa (ya muda) · Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda))
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili (jina la mtafsiri halijatajwa katika API) · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
bukhari:hadeethenc-provisional:3229