Nyuma

Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَنَّهُ قَالَ: «لَا يَمْنَعَنَّ رَجُلًا مِنْكُمْ مَخَافَةُ النَّاسِ أَنْ يَتَكَلَّمَ بِالْحَقِّ إِذَا رَآهُ أَوْ عَلِمَهُ».

Imepokelewa kutoka kwa Abii Saidi Al-Khudry radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema: "Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua".

Abu Sa‘īd al-Khudri (may Allah be pleased with him) reported that the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Let not the fear of people prevent any man among you from speaking the truth when he sees it or knows it."

Himizo la kuidhihirisha haki na kutoificha kwa kuwaogopa watu.

Kusema haki haimaanishi ni kutokuwa na adabu katika mfumo wa kauli zake na hekima na mawaidha mazuri ndani yake.

Uwajibu wa kuondoa uovu, na kutanguliza haki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kuliko masilahi ya watu yanayopingana na hilo.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Musnad Ahmad · Hadith Na. HE-66273 (Kulingania Dini na Kujitolea · Kuamrisha Mema na Kukataza Mabaya)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
ahmad:he:66273