Nyuma

Hamshukuru Mwenyezi Mungu asiyewashukuru watu

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «لَا يَشْكُرُ اللَّهَ مَنْ لَا يَشْكُرُ النَّاسَ»

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema: "Hamshukuru Mwenyezi Mungu asiyewashukuru watu"

Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported that the Prophet (ﷺ) said: "He who does not thank people in fact does not thank Allah."

Umuhimu wa kuwashukuru watu kwa mazuri.

Mneemeshaji halisia ni Mwenyezi Mungu Mtukufu, na viumbe ni sababu, huileta Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa amtakaye, na kwa hivyo kuwashukuru watu ni miongoni mwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Kuwashukuru watu kwa wema ni dalili ya ukamilifu wa tabia njema.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sunan Abu Dawud · Hadith Na. 4811 (Maadili, Adabu na Tabia Njema · Wema, Uadilifu na Tabia Njema)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
abudawud:he:66255