Nyuma

Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عَنْ ‌الزُّبَيْرِ بْنِ الْعَوَّامِ قَالَ: لَمَّا نَزَلَتْ: {ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ} [التكاثر: 8]، قَالَ الزُّبَيْرُ: يَا رَسُولَ اللهِ، وَأَيُّ النَّعِيمِ نُسْأَلُ عَنْهُ، وَإِنَّمَا هُمَا الْأَسْوَدَانِ التَّمْرُ وَالْمَاءُ؟ قَالَ: «أَمَا إِنَّهُ سَيَكُونُ».

Kutoka kwa Zubairi bin Awwam amesema: Ilipoteremka: "Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema" [Takathur: 8], akasema Zubairi: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni neema zipi tutakazooulizwa juu yake, au ni hivi vyeusi viwili tende na maji (Vyakula na vinywaji kwa ujumla)? Akasema: "Hakika bila shaka zitakuwa hizo".

Az-Zubayr ibn al-‘Awwām reported: When the following verse was revealed {Then, on that Day, you will definitely be questioned about your worldly pleasures.} [Surat at-Takāthur: 8], Az-Zubayr said: "O Messenger of Allah, which pleasures will we be asked about; there are only the two black things: dates and water?" He said: "This will certainly come."

Msisitizo wa kumshukuru Mwenyezi Mungu juu ya neema.

Neema ni miongoni mwa vile ambavyo mja ataulizwa kwavyo siku ya Kiyama.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Jami' at-Tirmidhiy · Hadith Na. 3356 (Aqidah na Misingi ya Imani · Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu)
Daraja na Mpokezi:
Ni nzuri (Hasan) · Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
tirmidhi:he:65075