مَا شَاءَ اللَّهُ لَا قُوَّةَ إِلَّا بِاللَّهِ، اللَّهُمَّ بَارِكْ فِيهِ.
"Maa shaa'Allaahu laa quwwata illaa billaah, Allaahumma baarik feeh."
Alitakalo Mwenyezi Mungu huwa, hakuna nguvu ila kwa Mwenyezi Mungu; Ewe Mwenyezi Mungu mbariki.
What Allah wills happens; there is no power except with Allah. O Allah, bless it.
Unapoona kitu kizuri cha mwenzako au cha kwako mwenyewe kusema maneno haya kunazuia jicho baya lisidhuru.