لَا بَأْسَ طَهُورٌ إِنْ شَاءَ اللَّهُ.
"Laa ba'sa tahoorun in shaa'Allaah."
Hakuna neno, ni utakaso (wa madhambi) In sha Allah.
Do not worry, it is a purification [from sins], if Allah wills.
Sunnah ya kumliwaza na kumpa matumaini mgonjwa kuwa maumivu yake yanamfutia madhambi.