اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْجُنُونِ، وَالْجُذَامِ، وَالْبَرَصِ، وَسَيِّئِ الْأَسْقَامِ.
"Allaahumma innee a'oodhu bika minal-junoon, wal-judhaam, wal-baras, wa sayyi'il-asqaam. (Na. 66)"
Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najikinga Kwako na wazimu, na ukoma, na mbalanga, na maradhi yote mabaya yenye kuangamiza. [Dua ya Afya, Maradhi na Ruqyah Na. 66]
O Allah, I seek refuge in You from madness, leprosy, vitiligo, and evil diseases. [Health, Healing & Protection supplication #66]
Dua sahihi inayomvutia muumini thawabu, ulinzi na amani ya moyo kupitia Afya, Maradhi na Ruqyah.