Nyuma

Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن كعب بن عياض رضي الله عنه قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «إن لكل أُمَّة فتنة، وفِتنة أُمَّتي: المال».

Kutoka kwa ka'bu bin Iyadh- Radhi za Allah ziwe juu yake- Amesema: Nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- " Akisema: "Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali".

Ka‘b ibn ‘Iyad (may Allah be pleased with him) reported that he heard the Messenger (may Allah's peace and blessings be upon him) say: "Every Ummah has a trial, and the trial of my Ummah is wealth."

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sunan an-Nasa'i · Hadith Na. HE-3736 (Maadili, Adabu na Tabia Njema · Wema, Uadilifu na Tabia Njema)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na An-Nasaaiy - Imepokelewa na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nasai:he:3736