Nyuma

Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن عائشة رضي الله عنها قالت: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «السِّوَاكُ مَطْهَرَةٌ لِلْفَمِ، مَرْضَاةٌ لِلرَّبِّ».

Kutoka kwa Aisha -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola".

‘Ā’ishah (may Allah be pleased with her) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "The tooth-stick purifies the mouth and pleases the Lord."

Ubora wa mswaki, na Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuuhimiza umma wake kukithirisha kupiga

Katika mswaki ni bora kutumia kijiti cha mti wa Arak, na kutumia miswaki ya brashi na dawa ya meno hukaa badala yake.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sunan an-Nasa'i · Hadith Na. HE-3588 (Fiqhi, Swala na Ibada · Hukumu za Swala na Tohara)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Nasai na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
nasai:he:3588