Nyuma

Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن أبي هريرة وعبد الله بن عمرو وعائشة رضي الله عنهم عن رسول الله صلى الله عليه وسلم : أنه قال: (ويلٌ للأعْقَاب من النَّار).

Kutoka kwa Abuu Huraira na Abdillahi bin Amri na Aisha- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- kutoka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- yakwamba yeye amesema: (Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu).

Abu Hurayrah, ‘Abdullāh ibn ‘Amr, and ‘Ā'ishah (may Allah be pleased with them) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Woe to the heel bones from the Hellfire!"

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sahih Muslim · Hadith Na. HE-3535 (Fiqhi, Swala na Ibada · Hukumu za Swala na Tohara)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Imamu Muslim - Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
muslim:he:3535