عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ: «قَالَ اللَّهُ تَبَارَكَ وَتَعَالَى: يَا ابْنَ آدَمَ إِنَّكَ مَا دَعَوْتَنِي وَرَجَوْتَنِي غَفَرْتُ لَكَ عَلَى مَا كَانَ فِيكَ وَلاَ أُبَالِي، يَا ابْنَ آدَمَ لَوْ بَلَغَتْ ذُنُوبُكَ عَنَانَ السَّمَاءِ ثُمَّ اسْتَغْفَرْتَنِي غَفَرْتُ لَكَ، يَا ابْنَ آدَمَ إِنَّكَ لَوْ أَتَيْتَنِي بِقُرَابِ الأَرْضِ خَطَايَا ثُمَّ لَقِيتَنِي لاَ تُشْرِكُ بِي شَيْئاً لأَتَيْتُكَ بِقُرَابِهَا مَغْفِرَةً».
Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Nilimsikia Mjumbe wa Allah akisema: "Allah Aliyetukuka amesema: Ewe mwanadamu! Hakika wewe maadamu utaniomba na kutaraji msamaha Wangu, Nitakusamehe kwa yale uliyoyatenda wala Sijali. Ewe mwanadamu! Laiti madhambi yako yangelifika kwenye mawingu ya anga kisha ukaniomba msamaha, Ningelikusamehe. Ewe mwanadamu! Laiti ungelinijia na madhambi yaliyo karibu kuijaza ardhi, kisha ukakutana Nami hali ya kuwa hunishirikishi na chochote, hakika Ningelikujia na msamaha mkubwa unaoijaza ardhi."
On the authority of Anas (may Allah be pleased with him) who said: I heard the Messenger of Allah say: "Allah the Almighty said: O son of Adam, so long as you call upon Me and ask of Me, I shall forgive you for what you have done, and I shall not care. O son of Adam, were your sins to reach the clouds of the sky and were you then to ask forgiveness of Me, I would forgive you. O son of Adam, were you to come to Me with sins nearly as great as the earth and were you then to face Me, ascribing no partner to Me, I would bring you forgiveness nearly as great as it."
Fundisho kuu la Hadithi ya 42 katika Al-Arba'in An-Nawawiyyah.
Kufuata mwongozo sahihi wa Mtume Muhammad ﷺ na misingi ya Qur'ani.
Kujenga maadili mema na ikhlasi katika kila nyanja ya maisha.