Nyuma

Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «مَا أَسْفَلَ مِنَ الكَعْبَيْنِ مِنَ الإِزَارِ فَفِي النَّارِ».

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Allah ziwe juu yake- kutoka kwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Kilichoshuka chini ya kongo mbili katika kikoi hicho ni motoni".

Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported that the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "What is below the ankles of the lower garment is in Hellfire."

Katazo la kurefusha nguo mpaka chini ya kongo mbili kwa wanaume, nakwamba hilo ni katika madhambi makubwa.

Amesema bin Hajari: Na kinaondolewa katika kuburuza kikoi moja kwa moja kila alichokiburuza kwa dharura; kama atakayekuwa na jeraha katika kongo mbili zake kwa mfano ikiwa nzi watamuudhi kama hatulifunika kwa kikoi chake, kwa kutopata kitu kingine cha kufunika.

Hukumu hii ni maalumu kwa wanaume; kwa sababu wanawake wameamrishwa washushe nguo zao chini ya kongo mibili kiasi cha dhiraa moja (inchi 18).

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sahih al-Bukhari · Hadith Na. 5787 (Fiqhi, Swala na Ibada · Hukumu za Swala na Tohara)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
bukhari:he:66386