عَنْ أَنَسٍ رَضيَ اللهُ عنه قَالَ: كَانَتْ عَامَّةُ وَصِيَّةِ رَسُولِ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ حِينَ حَضَرَهُ الْمَوْتُ: «الصَّلَاةَ وَمَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ، الصَّلَاةَ وَمَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ»، حَتَّى جَعَلَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يُغَرْغِرُ بِهَا صَدْرُهُ، وَمَا يَكَادُ يُفِيضُ بِهَا لِسَانُهُ.
Imepokelewa kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe ju yake amesema: Ulikuwa usia mkubwa wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake alipofikwa na mauti: "(Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume, (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume", mpaka akaanza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kushikwa na kwikwi kifuani kwake kwa maneno hayo kwa sababu ya kifo, na maneno hayo yalikaribia kujaa ulimi wake.
Anas (may Allah's peace and blessings be upon him) reported: The main advice of the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) when death approached him was: "The prayer and what your right hands possess, the prayer and what your right hands possess." The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) continued to repeat it until his chest was gurgling with it, and his tongue could barely utter it.
Ukubwa wa jambo la swala na haki ya mamluki; kwa sababu Mtume rehema na amani ziwe juu yake aliusia mambo hayo mawili katika mwisho wa yale aliyousia.
Swala ni katika haki kubwa za Mwenyezi Mungu kwa waja wake, na kutimiza haki za viumbe na hasa hasa madhaifu, nao ni wale waliochini ya mkono wa mtu wasiokuwa kizazi chake nalo ni katika haki kubwa za viumbe.