عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «بَدَأَ الْإِسْلَامُ غَرِيبًا، وَسَيَعُودُ كَمَا بَدَأَ غَرِيبًا، فَطُوبَى لِلْغُرَبَاءِ».
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-: "Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni kama ulivyo anza, basi shangwe kwa wale wanaoonekana kuwa ni wageni".
Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Islam began as something strange, and it will return to being strange as it began. So, glad tidings to the strangers."
Habari kuhusu kutokea ugeni wa Uislamu baada ya kuenea kwake na umaarufu wake.
Hapa kuna alama miongoni mwa alama za utume, kiasi kwamba ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake yale yatakayotokea baada yake, na ikatokea kama alivyoeleza.
Fadhila ya atakayehama nchi yake na familia yake; na kwamba atakuwa na Pepo.
Wageni ni wale wanaotengemaa watu wanapoharibika, nao ni wale wanaorekebisha yale waliyoyaharibu watu.