Nyuma

Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu hana janaba

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عَنْ عَلِيٍّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يُقْرِئُنَا القُرْآنَ عَلَى كُلِّ حَالٍ مَا لَمْ يَكُنْ جُنُبًا.

Kutoka kwa Ally radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu hana janaba.

‘Ali (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (ﷺ) used to teach us the Qur’an in every state, except when he was in a state of Janābah (major ritual impurity).

Kutofaa kusoma Qur'ani kwa mwenye janaba mpaka aoge.

Kufundisha kwa vitendo.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sunan Abu Dawud · Hadith Na. HE-65258 (Qur'ani Tukufu na Fadhila Zake · Usomaji na Kufanyia Kazi Qur'ani)
Daraja na Mpokezi:
Ni nzuri (Hasan) · Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
abudawud:he:65258