عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ لِعَمِّهِ: «قُلْ: لَا إِلَهَ إِلَّا اللهُ، أَشْهَدُ لَكَ بِهَا يَوْمَ الْقِيَامَةِ»، قَالَ: لَوْلَا أَنْ تُعَيِّرَنِي قُرَيْشٌ، يَقُولُونَ: إِنَّمَا حَمَلَهُ عَلَى ذَلِكَ الْجَزَعُ لَأَقْرَرْتُ بِهَا عَيْنَكَ. فَأَنْزَلَ اللهُ: {إِنَّكَ لا تَهْدِي مَنْ أَحْبَبْتَ وَلَكِنَّ اللهَ يَهْدِي مَنْ يَشَاءُ } [القصص: 56].
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alimwambia baba yake mdogo: "Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama" Akasema: Ningetamka kama si kuogopea matusi ya Makuraishi wanasema kulichompelekea kusema maneno hayo ni kuogopa kifo, kama si hivyo ningeingiza furaha moyoni mwako, basi Mwenyezi Mungu akateremsha: "Hakika wewe huwezi kumuongoza umtakaye lakini Mwenyezi Mungu humuongoza amtakaye" (suratul Qaswas: 56)
Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said to his uncle: "Say 'there is no god but Allah', and I will testify for you by it on the Day of Judgment." He said: "Were it not for the fear that the Quraysh may blame me and say that it was the fear (from imminent death) that induced me to do so, I would have certainly delighted your eyes with it." So, Allah revealed: {You cannot guide whoever you like, but Allah guides whom He wills.} [Surat al-Qasas: 56]
Haki huwa haiachwi kwa sababu ya maneno ya watu.
Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anamiliki uongofu wa ufahamishaji na uelekezaji na siyo uongofu wa kukubaliwa.
Ni katika sheria kumtembelea Kafiri akiwa mgonjwa kwa ajili ya kumlingania katika uislamu.
Pupa ya Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- katika kulingania kuelekea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa hali yoyote.