Nyuma

Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema kati ya sijida mbili: "Allaahumma ghfir lii, warhamnii, wa aafiniii, wahdinii, warzuqniii

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن ابن عباس رضي الله عنهما: كان النبي صلى الله عليه وسلم يقول بين السجدتين: «اللَّهمَّ اغْفِرْ لي، وارْحَمْنِي، وعافِني، واهْدِني، وارزقْنِي».

Imepokewa Kutoka kwa bin Abbas -Radhi za Allah ziwe juu yao yeye na baba yake-: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema kati ya sijida mbili: "Allaahumma ghfir lii, warhamnii, wa aafiniii, wahdinii, warzuqniii".

Ibn ‘Abbās (may Allah be pleased with him) reported: The Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) used to say between the two prostrations: "Allahumma ighfir li warhamni wa ‘āfeni wahdeni warzuqni (O Allah, forgive me, have mercy on me, grant me safety, guide me, and provide for me)".

Sheria ya kuomba dua hii katika kikao kati ya sijida mbili.

Ubora wa dua hizi kwa kukusanya heri za dunia na akhera.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Jami' at-Tirmidhiy · Hadith Na. HE-10930 (Fiqhi, Swala na Ibada · Hukumu za Swala na Tohara)
Daraja na Mpokezi:
Ni Nzuri kwa Ushahidi wake mbalimbali · Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
tirmidhi:he:10930