Nyuma

Atakayedhuru Mwenyezi Mungu naye atamdhuru, na atakayewatia watu ugumu Mwenyezi Mungu naye atamtilia ugumu

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن أبي صِرْمة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: «مَنْ ضَارَّ ضَارَّ اللهُ بِهِ، وَمَنْ شَاقَّ شَقَّ اللهُ عَلَيْهِ».

kutoka kwa Abuu Swirma -Radhi za Allah ziwe juu yake- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Atakayedhuru Mwenyezi Mungu naye atamdhuru, na atakayewatia watu ugumu Mwenyezi Mungu naye atamtilia ugumu".

Abu Sirmah (may Allah be pleased with him) reported: The Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Whoever causes harm will be harmed by Allah, and whoever causes hardship will be put in hardship by Allah."

Uharamu wa kumdhuru muislamu na kumtia tabu.

Allah huwalipizia kisasi waja wake.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sunan Abu Dawud · Hadith Na. HE-5375 (Aqidah na Misingi ya Imani · Tawhid na Kumtii Mwenyezi Mungu)
Daraja na Mpokezi:
Ni nzuri (Hasan) · Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
abudawud:he:5375