Nyuma

Kila wema ni sadaka

Kisomo cha Kiarabu Kiarabu Fasaha (MP3)

عن جابر بن عبد الله رضي الله عنهما عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «كُلُّ مَعْرُوفٍ صَدَقَةٌ».

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema: "Kila wema ni sadaka"

Jābir ibn ‘Abdullāh (may Allah be pleased with him) reported: The Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: "Every act of goodness is charity."

Nikuwa sadaka haishii tu katika vile anavyovitoa mtu katika mali yake, bali inajumuisha kila kheri anayoifanya mwanadamu au kuitamka na kuifikisha kwa wengine.

Hapa kuna himizo la kutenda wema, na kila jambo lenye manufaa kwa wengine.

Kutodharau kitu katika wema, hata kama ni kidogo.

Rejea na Daraja ya Hadithi

Kitabu na Mlango:
Sahih Muslim · Hadith Na. HE-5346 (Maadili, Adabu na Tabia Njema · Wema, Uadilifu na Tabia Njema)
Daraja na Mpokezi:
Sahihi · Imepokelewa na Bukhari kutokana na hadithi ya Jaabir, na amepokea Muslim kutokana na hadithi ya Hudhaifa
Mfasiri na Chanzo:
HadeethEnc.com — Kiswahili · Chanzo cha Tafsiri ↗
Masharti ya Matumizi:
Leseni ya Maudhui ↗
muslim:he:5346