سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ، سُبْحَانَ اللَّهِ الْعَظِيمِ.
"Subhaanallaahi wa bi-hamdihee, Subhaanallaahil-'Adheem."
Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zake, Ametakasika Mwenyezi Mungu Aliye Mtukufu.
Glory be to Allah and His is the praise, Glory be to Allah the Magnificent.
Hadithi ya mwisho kabisa katika Sahih al-Bukhari: Ni mepesi ulimini, yanapendwa na Mwingi wa Rehema, na ni mazito sana kwenye Mizani ya thawabu.